Skip to content
هُود /

Aya 107

11 : 107

Aya 107 of هُود (11 : 107). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

هُود Aya 123
Sura · هُود
Kiswahili · Barawani
11 : 107

خَٰلِدِينَ فِيهَا مَا دَامَتِ ٱلسَّمَٰوَٰتُ وَٱلۡأَرۡضُ إِلَّا مَا شَآءَ رَبُّكَۚ إِنَّ رَبَّكَ فَعَّالٞ لِّمَا يُرِيدُ

Watadumu humo muda wa kudumu mbingu na ardhi, isipo kuwa apendavyo Mola wako Mlezi. Hakika Mola wako Mlezi hutenda apendavyo.

Explanation & meanings · 1
  1. Watadumu Motoni muda wa kudumu mbingu na ardhi. Hawatotoka humo mpaka apendapo Mwenyezi Mungu, awaadhibu kwa adhabu namna nyengine! Ewe Nabii, Mwenyezi Mungu hutenda atakalo; hapana yeyote wa kumzuia.