11 : 106
فَأَمَّا ٱلَّذِينَ شَقُواْ فَفِي ٱلنَّارِ لَهُمۡ فِيهَا زَفِيرٞ وَشَهِيقٌ
Ama wale wa mashakani hao watakuwamo Motoni wakiyayayatika na kukoroma.
Explanation & meanings · 1
- Ama wale wenye mashaka mwisho wao ni Motoni. Kuvuta pumzi kwao kutakuwa ni kwa machungu makubwa, na mikoromo na kuyayatika, wanapo vuta pumzi na kutoa.