Skip to content
يُونس /

Aya 96

10 : 96

Aya 96 of يُونس (10 : 96). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُونس Aya 109
Sura · يُونس
Kiswahili · Barawani
10 : 96

إِنَّ ٱلَّذِينَ حَقَّتۡ عَلَيۡهِمۡ كَلِمَتُ رَبِّكَ لَا يُؤۡمِنُونَ

Hakika wale ambao neno la Mola wako Mlezi limekwisha thibitika juu yao, hawataamini,

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika wale iliyo kwisha pita juu yao hukumu ya kuwa wao ni makafiri, kwa kujuulikana inadi yao na chuki zao, hawatoamini hata ukijihangaisha vipi nafsi yako kuwakinaisha.