10 : 97
وَلَوۡ جَآءَتۡهُمۡ كُلُّ ءَايَةٍ حَتَّىٰ يَرَوُاْ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَلِيمَ
Ijapo kuwa itawajia kila Ishara, mpaka waione adhabu iliyo chungu.
Explanation & meanings · 1
- Na ukiwajia na kila hoja, na iwe wazi vipi, hawakinaiki. Wataendelea tu na upotovu wao mpaka wamalizikie kupata adhabu chungu.