Skip to content

Utakapo ulizwa: Nani Mtume wako?

السؤال

Swali/ Utakapo ulizwa: Nani Mtume wako?

الجواب

Jawabu/ Sema: Ni muhammad Bin Abillah Bin AbdilMutwalib Bin Hashim Bin Abdilmanafi. Mwenyezi Mungu alimchagua kutoka katika kabila la kiqurayshi nao ni Watoto wa Ismaili Bin Ibrahim Amani ziwe juu yao, Mwenyezi Mungu alimtuma kwa majini na watu na akamshushia kitabu na hekima na akamfanya ni mtume bora na ni mbora wa Mitume rehma na amani ziwe juu yake.