Skip to content

Utakapo ulizwa: Je, Inaswihi imani bila Matendo?

السؤال

Swali/ Utakapo ulizwa: Je, Inaswihi imani bila Matendo?

الجواب

Jawabu/ sema: Haiswihi imani bila matendo bali matendo ni lazima kwasababu matendo ni nguzo katika imani, ilivyo tamkwa na wanachuoni nikwamba ninguzo katika Imani, na wanachuoni wamekubaliana katika hilo kwamba imani ni kauli na vitendo na ushahidi juu ya hilo ni kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu: {na atakae kuendea MwenyeziMungu akiwa amefanya matendo mema hao ndio wenye daraja la juu} tah 75, Mwenyezi Mungu akaweka sharti la imani na matendo pamoja ili mtu aingie peponi.