Skip to content
العَلَق /

Aya 8

96 : 8
العَلَق Aya 19
Sura · العَلَق
Kiswahili · Barawani
96 : 8

إِنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلرُّجۡعَىٰٓ

Hakika kwa Mola wako Mlezi ndio marejeo.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe Muhammad! Hakika ni kwa Mola wako Mlezi peke yake ndiyo yako marejeo ya wote kwa kufufuliwa na kulipwa.