Skip to content
التوبَة /

Aya 57

9 : 57
التوبَة Aya 129
Sura · التوبَة
Kiswahili · Barawani
9 : 57

لَوۡ يَجِدُونَ مَلۡجَـًٔا أَوۡ مَغَٰرَٰتٍ أَوۡ مُدَّخَلٗا لَّوَلَّوۡاْ إِلَيۡهِ وَهُمۡ يَجۡمَحُونَ

Lau kama wangeli pata pa kukimbilia au mapango au pahala pa kuingia basi wangeli fyatuka mbio kuelekea huko.

Explanation & meanings · 1
  1. Wao hali wanakudhikini na wanachukia kuingiana nanyi, lau wangeli pata ngome, au mapango milimani, au mashimo chini ya ardhi wakaingia humo, basi wangeli yakimbilia mbio!