Skip to content
الفَجر /

Aya 24

89 : 24

Aya 24 of الفَجر (89 : 24). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الفَجر Aya 30
Sura · الفَجر
Kiswahili · Barawani
89 : 24

يَقُولُ يَٰلَيۡتَنِي قَدَّمۡتُ لِحَيَاتِي

Atasema: Laiti ningeli jitangulizia kwa uhai wangu!

Explanation & meanings · 1
  1. Atasema kwa majuto: Laiti ningeli jitangulizia katika dunia vitendo vyema vya kunifaa katika maisha ya Akhera!