Skip to content
الغَاشِية /

Aya 24

88 : 24

Aya 24 of الغَاشِية (88 : 24). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الغَاشِية Aya 26
Sura · الغَاشِية
Kiswahili · Barawani
88 : 24

فَيُعَذِّبُهُ ٱللَّهُ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَكۡبَرَ

Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa!

Explanation & meanings · 1
  1. Basi Mwenyezi Mungu atampa adhabu iliyo kubwa kabisa, isiyo kuwa na ya kuipita.