Skip to content
الأعلى /

Aya 16

87 : 16
الأعلى Aya 19
Sura · الأعلى
Kiswahili · Barawani
87 : 16

بَلۡ تُؤۡثِرُونَ ٱلۡحَيَوٰةَ ٱلدُّنۡيَا

Lakini nyinyi mnakhiari maisha ya dunia!

Explanation & meanings · 1
  1. Bali nyinyi hamfanyi hayo yanayo pelekea kufanikiwa, lakini katika hima zenu mnatanguliza maisha ya duniani kuliko ya Akhera.