Skip to content
الأعلى /

Aya 12

87 : 12
الأعلى Aya 19
Sura · الأعلى
Kiswahili · Barawani
87 : 12

ٱلَّذِي يَصۡلَى ٱلنَّارَ ٱلۡكُبۡرَىٰ

Ambaye atauingia Moto mkubwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Ambaye ataingia kwenye Moto mkubwa ulio andaliwa kuwa ndio malipo yake.