Skip to content
الانشِقَاق /

Aya 14

84 : 14
الانشِقَاق Aya 25
Sura · الانشِقَاق
Kiswahili · Barawani
84 : 14

إِنَّهُۥ ظَنَّ أَن لَّن يَحُورَ

Huyo hakika alidhani kuwa hatarejea tena.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika huyo alidhani kuwa kabisa hatorejea kwa Mwenyezi Mungu akamhisabu.