Skip to content
الانفِطَار /

Aya 7

82 : 7

Aya 7 of الانفِطَار (82 : 7). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الانفِطَار Aya 19
Sura · الانفِطَار
Kiswahili · Barawani
82 : 7

ٱلَّذِي خَلَقَكَ فَسَوَّىٰكَ فَعَدَلَكَ

Aliye kuumba, akakuweka sawa, akakunyoosha!

Explanation & meanings · 1
  1. Mungu wako huyo ndiye aliye kuumba nawe hukuwa chochote, akakuumba na viungo vya kukuletea manufaa, akakufanya umenyooka kwa umbo sawa sawa.