Skip to content
التَّكوير /

Aya 9

81 : 9
التَّكوير Aya 29
Sura · التَّكوير
Kiswahili · Barawani
81 : 9

بِأَيِّ ذَنۢبٖ قُتِلَتۡ

Kwa kosa gani aliuliwa?

Explanation & meanings · 1
  1. Kwa makosa gani kauliwa, naye hana dhambi? (Ilikuwa ada ya makafiri wa Kiarabu kabla ya Uislamu kuwazika watoto wao wa kike nao wahai! Baadhi ya Mabaniani wanawauwa watoto wao wa kike hata hivi leo huko India!!)