81 : 17 وَٱلَّيۡلِ إِذَا عَسۡعَسَ Na kwa usiku unapo pungua, 17Hide explanation (1)Explanation & meanings · 117Na kwa usiku linapo pungua giza lake wakati unapo malizika.