Skip to content
النَّازعَات /

Aya 44

79 : 44

Aya 44 of النَّازعَات (79 : 44). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّازعَات Aya 46
Sura · النَّازعَات
Kiswahili · Barawani
79 : 44

إِلَىٰ رَبِّكَ مُنتَهَىٰهَآ

Kwa Mola wako Mlezi ndio mwisho wake.

Explanation & meanings · 1
  1. Ujuzi wa hayo uko kwa Mola wako Mlezi tu, si kwa mwenginewe. (Nabii Isa a.s. ambaye Wakristo wanasema ni Mwana wa Mungu, au ndiye Mungu, pia anasimuliwa katika Biblia kuwa hakuijua Saa na Siku ya Kiyama. Injili ya Mathayo inanukulu maneno ya Yesu: "Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.")