79 : 3 وَٱلسَّٰبِحَٰتِ سَبۡحٗا Na wanao ogelea! 3Hide explanation (1)Explanation & meanings · 13Na kwa kila kilicho pewa mbio za kutekeleza kazi yake kwa sahala na wepesi.