79 : 21
فَكَذَّبَ وَعَصَىٰ
Lakini aliikadhibisha na akaasi.
Explanation & meanings · 1
- Lakini Firauni alimkadhibisha Musa kwa aliyo kuja nayo, na akamuasi kwa aliyo mwitia.
Aya 21 of النَّازعَات (79 : 21). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
فَكَذَّبَ وَعَصَىٰ
Lakini aliikadhibisha na akaasi.