79 : 14 فَإِذَا هُم بِٱلسَّاهِرَةِ Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano! 14Hide explanation (1)Explanation & meanings · 114Mara maiti wote watahudhurishwa kwenye ardhi ya mkusanyiko!