Skip to content
النَّازعَات /

Aya 10

79 : 10

Aya 10 of النَّازعَات (79 : 10). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّازعَات Aya 46
Sura · النَّازعَات
Kiswahili · Barawani
79 : 10

يَقُولُونَ أَءِنَّا لَمَرۡدُودُونَ فِي ٱلۡحَافِرَةِ

Sasa wanasema: Ati kweli tutarudishwa kwenye hali ya kwanza?

Explanation & meanings · 1
  1. Watu hawa husema duniani kwa kukanya kufufuliwa: Ati tutarudishwa sisi baada ya kwisha kufa, tuumbwe tena kama tulivyo kuwa?