Skip to content
النَّبَإ /

Aya 31

78 : 31
النَّبَإ Aya 40
Sura · النَّبَإ
Kiswahili · Barawani
78 : 31

إِنَّ لِلۡمُتَّقِينَ مَفَازًا

Hakika wachamngu wanastahiki kufuzu,

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika wenye kumcha Mola wao Mlezi watapata kuokoka na adhabu, na wataipata Pepo,