78 : 28
وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَا كِذَّابٗا
Na wakikanusha Aya zetu kwa nguvu.
Explanation & meanings · 1
- Wakazikadhibisha Ishara za Mwenyezi Mungu zenye kuthibitisha kufufuliwa kwa mkadhibisho mkali.
Aya 28 of النَّبَإ (78 : 28). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَا كِذَّابٗا
Na wakikanusha Aya zetu kwa nguvu.