Skip to content
المُرسَلات /

Aya 50

77 : 50

Aya 50 of المُرسَلات (77 : 50). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المُرسَلات Aya 50
Sura · المُرسَلات
Kiswahili · Barawani
77 : 50

فَبِأَيِّ حَدِيثِۭ بَعۡدَهُۥ يُؤۡمِنُونَ

Basi maneno gani baada ya haya watayaamini?

Explanation & meanings · 1
  1. Basi maneno gani hawa watayaamini ikiwa hawaiamini Qur'ani, na hali hii ni muujiza ulio toka mbinguni?