Skip to content
المُرسَلات /

Aya 43

77 : 43
المُرسَلات Aya 50
Sura · المُرسَلات
Kiswahili · Barawani
77 : 43

كُلُواْ وَٱشۡرَبُواْ هَنِيٓـَٔۢا بِمَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ

Kuleni na kunyweni kwa furaha kwa yale mliyo kuwa mkiyatenda.

Explanation & meanings · 1
  1. Wataambiwa kwa kuamkiwa na kukirimiwa: Kuleni na mnywe chakula na vinywaji kwa starehe kwa sababu ya vitendo vyema mlivyo kuwa mkivitenda duniani.