Skip to content
المُرسَلات /

Aya 29

77 : 29
المُرسَلات Aya 50
Sura · المُرسَلات
Kiswahili · Barawani
77 : 29

ٱنطَلِقُوٓاْ إِلَىٰ مَا كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ

Nendeni kwenye adhabu mliyo kuwa mkiikanusha!

Explanation & meanings · 1
  1. Siku ya kupambanua wataambiwa makafiri: Nendeni huko Motoni mliko kuwa mkikukanusha.