Skip to content
الإنسَان /

Aya 8

76 : 8

Aya 8 of الإنسَان (76 : 8). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإنسَان Aya 31
Sura · الإنسَان
Kiswahili · Barawani
76 : 8

وَيُطۡعِمُونَ ٱلطَّعَامَ عَلَىٰ حُبِّهِۦ مِسۡكِينٗا وَيَتِيمٗا وَأَسِيرًا

Na huwalisha chakula, juu ya kukipenda kwake, masikini, na yatima, na wafungwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na huwalisha chakula mafakiri wasio weza kazi, na watoto walio fiwa na wazee wao, na wafungwa wasio miliki kitu, ijapo kuwa wao wenyewe hao watoaji wanakipenda hicho wanacho kitoa, na wanakihitajia.