Skip to content
الإنسَان /

Aya 18

76 : 18
الإنسَان Aya 31
Sura · الإنسَان
Kiswahili · Barawani
76 : 18

عَيۡنٗا فِيهَا تُسَمَّىٰ سَلۡسَبِيلٗا

Hiyo ni chemchem iliyo humo inaitwa Salsabil.

Explanation & meanings · 1
  1. Hiyo ni kutokana na chemchem ya Peponi inayo itwa Salsabil, kwa sababu ya wepesi wa unywaji wake na uzuri wake.