Skip to content
الإنسَان /

Aya 17

76 : 17

Aya 17 of الإنسَان (76 : 17). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإنسَان Aya 31
Sura · الإنسَان
Kiswahili · Barawani
76 : 17

وَيُسۡقَوۡنَ فِيهَا كَأۡسٗا كَانَ مِزَاجُهَا زَنجَبِيلًا

Na humo watanyweshwa kinywaji kilicho changanyika na tangawizi.

Explanation & meanings · 1
  1. Na watu wema hupewa kunywa huko Peponi mvinyo inayo fanana na sharubati ya tangawizi kwa utamu.