Skip to content
القِيَامة /

Aya 38

75 : 38
القِيَامة Aya 40
Sura · القِيَامة
Kiswahili · Barawani
75 : 38

ثُمَّ كَانَ عَلَقَةٗ فَخَلَقَ فَسَوَّىٰ

Kisha akawa kidonge cha damu, tena Mwenyezi Mungu akamuumba na akamtengeneza vilivyo.

Explanation & meanings · 1
  1. Kisha hiyo tone ikawa kipande cha damu iliyo ganda, na Mwenyezi Mungu akaiumba, akaisawazisha mpaka ikawa na umbo zuri?