Skip to content
القِيَامة /

Aya 16

75 : 16

Aya 16 of القِيَامة (75 : 16). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

القِيَامة Aya 40
Sura · القِيَامة
Kiswahili · Barawani
75 : 16

لَا تُحَرِّكۡ بِهِۦ لِسَانَكَ لِتَعۡجَلَ بِهِۦٓ

Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka.

Explanation & meanings · 1
  1. Usiuharikishe ulimi wako kwa kuisoma Qur'ani na kujaribu kuihifadhi kwa haraka pale unapo teremshiwa kwa Wahyi.