Skip to content
المُزمل /

Aya 18

73 : 18
المُزمل Aya 20
Sura · المُزمل
Kiswahili · Barawani
73 : 18

ٱلسَّمَآءُ مُنفَطِرُۢ بِهِۦۚ كَانَ وَعۡدُهُۥ مَفۡعُولًا

Hapo mbingu zitapasuka! Ahadi yake itakuwa imetekelezwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Mbingu juu ya nguvu zake na ukubwa wake, Siku hiyo zitapasukilia mbali kwa shida zake na vitisho vyake. Na ahadi ya Mwenyezi Mungu ni lazima itokee, hapana hivi wala hivi.