Skip to content
نُوح /

Aya 22

71 : 22
نُوح Aya 28
Sura · نُوح
Kiswahili · Barawani
71 : 22

وَمَكَرُواْ مَكۡرٗا كُبَّارٗا

Na wakapanga vitimbi vikubwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na vitimbi vya hao wenye mali mengi, na wana wengi, kwa wanyonge wanao wafuata ni vitimbi vilivyo fika ukomo kwa ukubwa.