Skip to content
المَعَارج /

Aya 43

70 : 43
المَعَارج Aya 44
Sura · المَعَارج
Kiswahili · Barawani
70 : 43

يَوۡمَ يَخۡرُجُونَ مِنَ ٱلۡأَجۡدَاثِ سِرَاعٗا كَأَنَّهُمۡ إِلَىٰ نُصُبٖ يُوفِضُونَ

Siku watakapotoka makaburini kwa upesi kama kwamba wanakimbilia mfundo,

Explanation & meanings · 1
  1. Siku watakapo tolewa makaburini mbio mbio kumwendea huyo ataye waita, kama kwamba wamemweka ufundo na wakimuabudu duniani walivyo kuwa wakimkimbilia badala ya Mwenyezi Mungu,