Skip to content
المَعَارج /

Aya 35

70 : 35
المَعَارج Aya 44
Sura · المَعَارج
Kiswahili · Barawani
70 : 35

أُوْلَٰٓئِكَ فِي جَنَّٰتٖ مُّكۡرَمُونَ

Hao ndio watakao hishimiwa Peponi.

Explanation & meanings · 1
  1. Watu wenye sifa kama hizo nzuri watakuwa ni wenye kuhishimiwa mbele ya Mwenyezi Mungu Mtukufu huko Peponi.