Skip to content
المَعَارج /

Aya 27

70 : 27

Aya 27 of المَعَارج (70 : 27). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المَعَارج Aya 44
Sura · المَعَارج
Kiswahili · Barawani
70 : 27

وَٱلَّذِينَ هُم مِّنۡ عَذَابِ رَبِّهِم مُّشۡفِقُونَ

Na ambao wanaiogopa adhabu itokayo kwa Mola wao Mlezi.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wale wanao iogopa adhabu ya Mola wao Mlezi basi wanajikinga nayo wala hawajitii katika jambo la kuwaletea adhabu hiyo.