Skip to content
المَعَارج /

Aya 10

70 : 10
المَعَارج Aya 44
Sura · المَعَارج
Kiswahili · Barawani
70 : 10

وَلَا يَسۡـَٔلُ حَمِيمٌ حَمِيمٗا

Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake.

Explanation & meanings · 1
  1. Wala jamaa hamuulizi jamaa yake: Nini hali yako? Kwa sababu kila mmoja kajishughulikia nafsi yake!