Skip to content
الأعرَاف /

Aya 14

7 : 14
الأعرَاف Aya 206
Sura · الأعرَاف
Kiswahili · Barawani
7 : 14

قَالَ أَنظِرۡنِيٓ إِلَىٰ يَوۡمِ يُبۡعَثُونَ

Akasema: Nipe muhula mpaka siku watakapo fufuliwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Iblisi akamwambia Mwenyezi Mungu: Nipe muhula, unibakishe mpaka Siku ya Kiyama.