69 : 44
وَلَوۡ تَقَوَّلَ عَلَيۡنَا بَعۡضَ ٱلۡأَقَاوِيلِ
Na lau kama angeli tuzulia baadhi ya maneno tu,
Explanation & meanings · 1
- Na lau kuwa angeli dai kitu chochote ambacho tusicho kisema