Skip to content
الحَاقة /

Aya 20

69 : 20
الحَاقة Aya 52
Sura · الحَاقة
Kiswahili · Barawani
69 : 20

إِنِّي ظَنَنتُ أَنِّي مُلَٰقٍ حِسَابِيَهۡ

Hakika nalijua ya kuwa nitapokea hisabu yangu.

Explanation & meanings · 1
  1. Mimi nilikuwa na yakini tangu duniani kuwa nitapata hisabu yangu, basi nikajitayarisha nafsi yangu kwa mkutano huu.