68 : 3
وَإِنَّ لَكَ لَأَجۡرًا غَيۡرَ مَمۡنُونٖ
Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika.
Explanation & meanings · 1
- Na hakika unapata thawabu kubwa zisio katika kwa ajili ya kufikisha Ujumbe.
Aya 3 of القَلَم (68 : 3). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَإِنَّ لَكَ لَأَجۡرًا غَيۡرَ مَمۡنُونٖ
Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika.