65 : 9
فَذَاقَتۡ وَبَالَ أَمۡرِهَا وَكَانَ عَٰقِبَةُ أَمۡرِهَا خُسۡرًا
Basi ikauonja ubaya wa mambo yake; na mwisho wa mambo yao ilikuwa khasara.
Explanation & meanings · 1
- Wakagugumia malipo maovu ya mambo yao. Na ukawa mwisho wa mambo yao ni kukhasiri kukubwa mno.