Skip to content
التغَابُن /

Aya 10

64 : 10
التغَابُن Aya 18
Sura · التغَابُن
Kiswahili · Barawani
64 : 10

وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَآ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلنَّارِ خَٰلِدِينَ فِيهَاۖ وَبِئۡسَ ٱلۡمَصِيرُ

Na walio kufuru na wakakadhibisha Ishara zetu, hao ni watu wa Motoni, watadumu humo milele. Na hayo ndiyo marudio mabaya.

Explanation & meanings · 1
  1. Na walio ikataa Imani, na wakaikanusha miujiza yetu tuliyo wapa Mitume wetu kuwaunga mkono, hao ndio watu wa Motoni. Watadumu humo. Na marudio maovu ni hayo walio yarudia hao.