56 : 9
وَأَصۡحَٰبُ ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ مَآ أَصۡحَٰبُ ٱلۡمَشۡـَٔمَةِ
Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni?
Explanation & meanings · 1
- Na watu wa kushotoni, hao ni watu wa cheo duni, uovu ulioje wa hali yao!