56 : 3 خَافِضَةٞ رَّافِعَةٌ Literemshalo linyanyualo! 3Hide explanation (1)Explanation & meanings · 13Kiyama hicho kitawateremsha chini walio waovu, na kitawanyanyua juu walio wema.