56 : 4 إِذَا رُجَّتِ ٱلۡأَرۡضُ رَجّٗا Itakapo tikiswa ardhi kwa mtikiso! 4Hide explanation (1)Explanation & meanings · 14Ardhi itakapo tikiswa, na ikatetemeshwa kwa nguvu.