Skip to content
القَمَر /

Aya 29

54 : 29
القَمَر Aya 55
Sura · القَمَر
Kiswahili · Barawani
54 : 29

فَنَادَوۡاْ صَاحِبَهُمۡ فَتَعَاطَىٰ فَعَقَرَ

Basi wakamwita mtu wao akaja akamchinja.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakamwita mtu wao mmoja akapania kumchinja yule ngamia, akamchinja.