53 : 34
وَأَعۡطَىٰ قَلِيلٗا وَأَكۡدَىٰٓ
Na akatoa kidogo, kisha akajizuia?
Explanation & meanings · 1
- Na akatoa kidogo katika mali, na khalafu akakata kabisa kutoa?
Aya 34 of النَّجم (53 : 34). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَأَعۡطَىٰ قَلِيلٗا وَأَكۡدَىٰٓ
Na akatoa kidogo, kisha akajizuia?