53 : 12
أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?
Explanation & meanings · 1
- Hivyo nyinyi mnamkadhibisha Mtume wa Mwenyezi Mungu na mnabishana naye kwa aliyo yaona kwa macho yake?
أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ
Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?