Skip to content
النَّجم /

Aya 10

53 : 10
النَّجم Aya 62
Sura · النَّجم
Kiswahili · Barawani
53 : 10

فَأَوۡحَىٰٓ إِلَىٰ عَبۡدِهِۦ مَآ أَوۡحَىٰ

Akamfunulia mja wake (Mwenyezi Mungu) alicho mfunulia.

Explanation & meanings · 1
  1. Jibrili akamfunulia mja wa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, alicho mfunulia, nao ufunuo huo ni jambo lenye shani kubwa na athari ya mbali kabisa.